Kiosi cha Timu ya Twiga Stars kilichopambana na Timu ya Namibia katika uwanja wa Taifa
Mchezaji wa Twiga Stars akichanja mbuga kuwapita wchezaji wa Timu ya Namibia
mashabiki waliohudhuria mpambano wa Twiga Stars na Namibia
Mshambuliaji hatari wa Twiga Stars Asha akifanya vitu vyake
Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah akitoa shukrani kwa MSD kwakuipatia msaada timu ya Twiga Stars, kulia ni mkurugenzi wa shughuli za Kanda ya Mashariki Boharia Lucy Nderimo