The Official website of Tanzania Football Federation

Flash News

 


Kiungo wa Taifa Stars Mwinyi Kazimoto akiambaa na mpira wakati walinzi wa Ivory Coast wakimfuatilia asilete madhara

Kiungo mshambuliaji Amri Kiemba wa Taifa Stars akimiliki mpira kuelekea langoni mwa Ivory Coast, wakati walinzi wa Ivory Coast wakimfuatilia kwa umakini

Mshambuliaji wa Taifa Stars Thomas ulimwengu akiambaa na mpira kuelekea langoni mwa Ivory Coast

Thomas Ulimwengu akiwa makini kuhakikisha kama mpira utamrudia

Mlinda Mlango wa Ivory Coast akiokoa hatari langoni mwake
Simba SC 1 : 0 Azam FC
Match
Vodacom Premier League 2009/2010
Simba SC 1 : 0
Azam FC
(00-00-0000 16:00 PM)
About

Venue

Goal Scorers

Time

Team

uhuru (DSM)

Mussa Mgosi

 

 

24

Simba SC