Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Waziri Ndumbaro Amesisitiza Hamasa Timu za Taifa

Waziri Ndumbaro Amesisitiza Hamasa Timu za Taifa Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo Mh. Damas Ndumbaro ametoa rai kwa watanzania wote kuunganan na Serikali pamoja na TFF katika kuzisapoti timu za Taifa hasa zile zilizo fuzu kushiriki michuano ya Afrika (AFCON na...

Taifa Stars Yafuzu AFCON Mbele ya Miamba Algeria, Yavuna  Milioni 500 za Samia

Taifa Stars Yafuzu AFCON Mbele ya Miamba Algeria, Yavuna  Milioni 500 za Samia Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars" imefanikiwa kufuzu kushiriki Michuano Mikubwa ya AFCON baada ya kuitunishia misuli timu ya Taifa ya Algeria katika mchezo uliopigwa Agosti 7, 2023...

Tanzania yaichapa Ethiopia goli 2-0 Azam Complex, Chamazi

Tanzania yaichapa Ethiopia goli 2-0 Azam Complex, Chamazi Timu ya Taifa ya Wanawake chini ya umri wa miaka 18 imeendeleza ubabe wake mara baada ya kuichapa timu ya Ethiopia goli 2-0 katika mashindano ya CECAFA U-18 yanayoendelea katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi...

Hemed Morocco:Tumejiandaa kuwapa Furaha watanzania

Hemed Morocco:Tumejiandaa kuwapa Furaha watanzania Kocha msaidizi wa timu ya Taifa Hemed Suleiman 'Morocco' amesema Taifa Stars imejipanga kuwapa furaha watanzania katika mchezo wa marudiano wa kufuzu AFCON dhidi ya timu ya taifa ya Uganda 'The Cranes' utakaopigwa...

TAIFA STARS >>

WOMEN FOOTBALL >>

YOUTH FOOTBALL >>

About TFF

The Tanzania Football Federation (TFF), previously Football Association of Tanzania (FAT), is the governing body of football in Tanzania and oversees the Tanzania national football teams. It was founded in 1930 and is affiliated to FIFA since 1964.

Grassroots

The FIFA Grassroots programme is aimed at giving children aged between 6 and 12 the opportunity to play football, regardless of their social background. The children’s football coach has a key role to play. He uses a host of fun activities to introduce the children to the game and is mindful to encourage not only their sporting but also their social development.

Rules & Regulations

These Play Rules and Regulations have been enacted to provide understanding among Tanzania Football Federation Members as regards the conditions of play in line with the FIFA Statutes and the Laws of the Game and to foster co-operation within the Association as well as to promote the highest possible competition and fair play.

Careers & Tenders

The Tanzania Football Federation (TFF) is the governing body of football in Tanzania and oversees the Tanzania national football teams with a culture which promotes respect, unity, accountability, creativity and aspiration – this is The TFF Way.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.