Kilimanjaro Stars – Timu ya Taifa ya Tanzania Bara kesho Jumapili Desemba 3, 2017 itacheza na Libya katika mchezo wa pili wa michuano ya kuwania Kombe la CECAFA – linaloandaliwa na Baraza la Soka la Afrika Mashariki. Mchezo huo utakaofanyika Uwanja wa Machakos, utaanza saa 10:00 jioni (1600h) mara baada ya mchezo wa kwanza kati 

Continue Reading

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe amewaambia wachezaji wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, kuwa Tanzania inahitaji ushindi katika michuano ya Kombe la Baraza la Soka la Afrika Mashariki (CECAFA). Dk. Mwakyembe aliyesema hayo jana Novemba 29, usiku wakati wa hafla ya chakula cha jioni ambako 

Continue Reading

Ukiacha Kamati Kuu ya kuratibu michuano ya fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON U17/2019) kwa vijana wenye umri wa chini ya miaka 17, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limefanya uteuzi mwingine. Uteuzi huo umeegemea zaidi kwa Wajumbe wa Kamati Kuu ya Maandalizi (LOC) wakiwamo viongozi wakuu wa TFF na wanafamilia wengine 

Continue Reading

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa sasa imesimama kwa takribani majuma mawili. Sababu kubwa ya kusimama kwa ligi hiyo ni kupisha Kombe la Chalenji la CECAFA – michuano inayoratibiwa na Baraza la Soka kwa nchi za Afrika Mashariki (CECAFA). Michuano ya CECAFA itafikia ukomo Desemba 17, mwaka huu na Shirikisho la Mpira wa Miguu 

Continue Reading

Baraza la Mpira wa Miguu la nchi za Afrika Mashariki, limeteua Watanzania wanne (4), kuendesha michuano ya kuwania Kombe la Chalenji inayoandaliwa na CECAFA. Watanzania hao ni Alhaji Ahmed Mgoyi aliyeteuliwa katika Idara ya Mashindano huko CECAFA wakati mwingine ni Sunday Kayuni ambaye ameteuliwa katika Idara ya Ufundi. Mgoyi ameteuliwa kutokana na uzoefu na uwezo 

Continue Reading

Kocha Mkuu wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, Ammy Conrad Ninje, ametaja kikosi cha wachezaji 20 kitakachoshiriki michuano ya Kombe la Chalenji mwaka huu wa 2017. Ninje – Kocha wa Daraja ‘A’ la Shirikisho la Mpira wa Miguu Ulaya (UEFA), ametaja kikosi hicho leo Jumamosi Novemba 18, 2017 kwenye Ukumbi 

Continue Reading

Ammy Conrad Ninje, ametangazwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwamba ndiye atakuwa Kocha Mkuu wa timu ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ itakayoshiriki michuano ya Kombe la Chalenji mwaka huu wa 2017. Katika michuano hiyo inayotarajiwa kuanza Desemba 3, mwaka huu, Kilimanjaro Stars imepangwa Kundi ‘A’ pamoja wenyeji Kenya, Rwanda na Libya ambayo 

Continue Reading

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa kushirikiana na wadau mbalimbali limeandaa ligi ya soka la ufukweni kwa vyuo vya Mkoa wa Dar es Salaam mashindano yanayopangwa kuanza kesho Novemba 18, 2017. Ligi ya mwaka huu itafanyika katika Uwanja vya Escape One – Mikocheni uliopo Wilaya ya Kinondoni na itajumuisha jumla ya timu 16. 

Continue Reading

Tunaanza kwa kumshukuru Mungu kwa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inayodhaminiwa na Bia ya Serengeti, kusafiri salama kwenda na kurejea nchini alfajiri ya leo Jumanne Novemba 14, 2017. Pia TFF tunasema ahsante kwa namna ambavyo timu yetu imepambana na kutoka sare kwenye mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya wenyeji Benin 

Continue Reading

Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA), tayari limetangaza kuanza kwa mchakato kwa wanahabari kutapa vibali maalumu (accreditations) za kushuhudia na kuripoti habari za Fainali za Kombe za Kombe la Dunia zitakazofanyika nchini Urusi, Juni, 2018. Kwa wanahabari wanaotaka vibali hivyo hawana budi kujisajili moja kwa moja TFF na wakapata uthibitisho kutoka Mkuu wa 

Continue Reading