TFF YATOA MIPIRA KYELA

  • News
  • By
Want create site? Find Free WordPress Themes and plugins.

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa mipira kwa ajili ya kufundishia kozi ya ukocha ngazi ya awali kwa Walimu wa Shule za Sekondari pamoja na Shule za Msingi sambamba na Ofisa Polisi inayoendeshwa na TFF katika Shule ya Sekondari Kyela. Washiriki wako 75, kati yao wanawake ni 13. Mipira hiyo ilitolewa na Mjumbe wa Kati ya Utendaji TFF, Elias Mwanjala mwenye fulana nyeupe (kushoto) na wanaopokea ni Wakufunzi David Mwamwaja na Dan Korosso.

Did you find apk for android? You can find new Free Android Games and apps.