Dk Maleko Awamwagia Sifa Serengeti Girls

Dk Maleko Awamwagia Sifa Serengeti Girls

Dk Maleko Awamwagia Sifa Serengeti Girls Balozi wa Tanzania Dkt. Jilly Maleko ameipongeza timu ya Taifa ya wasichana wenye umri chini ya miaka 17 baada ya timu hiyo kufanikiwa kuibuka na ushindi wa jumla ya bao 4-0 kwenye mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Urukundo...
Serengeti Girls Yatakata Ugenini

Serengeti Girls Yatakata Ugenini

Serengeti Girls Yatakata Ugenini Timu ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls imefanikiwa kuibuka na ushindi mnono dhidi ya Burundi baada ya kuiadhibu kwa jumla ya mabao 4-0 katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Urukundo Mjini Ngozi, Aprili 16,...
Serengeti Girls Kamili Kuikabiri Burundi

Serengeti Girls Kamili Kuikabiri Burundi

Serengeti Girls Kamili Kuikabiri Burundi Timu ya Taifa ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls inatarajia kuondoka hii leo kuelekea Ngozi nchini Burundi tayari kwaajili ya mchezo wake wa hatua ya pili ya Kufuzu Kombe la Dunia dhidi ya Burundi Aprili...
Taifa Stars Sudan Yatoshana nguvu

Taifa Stars Sudan Yatoshana nguvu

Taifa Stars Sudan Ngoma Ngumu Mchezo wa kirafika wa Kimataifa uliopigwa kwa Mkapa, Machi 29, 2022 uliwakutanisha Taifa Stars dhidi ya Sudan na kumalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu baada ya kutoka sare ya bao moja kwa moja. Mchezo huo uliopigwa majira ya saa 1:00...