by tff admin | Mar 28, 2022 | News, Taifa Stars
Taifa Stars Kuvaana na Sudan kwa Mkapa Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ inatarajia kushuka dimbani hapo kesho (Machi 29, 2022) kuikabili timu ya Taifa ya Sudan kwenye mchezo utakao pigwa majira ya saa 1:00 usiku katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Jijini Dar es...
by tff admin | Mar 27, 2022 | Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), News
RCL ni Moto Kilimanjaro Mashindano ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL)ambayo kwa sasa yapo katika hatua za Fainali yamezidi kupamba moto huko Kilimanjaro kutokana na upinzani wa kila timu shiriki kwa namna ambavyo timu hizo zilivyo jiandaa kupambana kwa shauku ya...
by tff admin | Mar 24, 2022 | News, Taifa Stars
Stars Yaichapa Afrika ya Kati kwa Mkapa Timu ya taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imefanikiwa kuilaza kwa jumla ya mabao 3 kwa 1 timu kutoka Jamhuri ya Afrika ya Kati katika Mchezo wa kirafiki wa Kimataifa uliopigwa Machi 23, 2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa na...
by tff admin | Mar 17, 2022 | News
Mafanikio Lukuki Sekta ya Michezo Ndani ya Mwaka Imeelezwa hiyo Machi 16, 2022 Jijini Dodoma na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo nchini Mheshimiwa Mohamed Mchengerwa alipokuwa akieleza mafanikio ya Wizara yake kwa kipindi cha mwaka mmoja madarakani mwa Rais wa...
by tff admin | Mar 15, 2022 | News, Taifa Stars
28 Waitwa Kambini Taifa Stars. Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim Poulsen leo ametangaza majina ya wachezaji 28 watakoingia kambini tayari kujiandaa kwa michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa kwa mujibu wa kalenda ya FIFA, pamoja na kufanya...