Rais Samia aichangia Twiga Stars.

Rais Samia aichangia Twiga Stars.

Rais Samia aichangia Twiga Stars. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu Hassan ameichangia timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars kiasi cha shilingi milioni 15 katika tamasha la Orange Concert lililoandaliwa na Baraza la michezo la Taifa BMT...
Wasichana U-17 Tizi kwa Kwenda Mbele

Wasichana U-17 Tizi kwa Kwenda Mbele

Wasichana U-17 Tizi kwa Kwenda Mbele   Timu ya Taifa ya wasichana chini ya miaka 17 imejipanga vyema kuendeleza ushindi kwenye mchezo wake wa marudiano dhidi ya Botswana mara baada ya kupata ushindi wa mabao 7-0 kwenye mchezo wa awali uliochezwa Machi 06, 2022 kwenye...

SHIME: Wachezaji wetu Wako tayari kupambana

Matumaini Yetu Wachezaji Wako Tayari Kufanya Vizuri; Shime Kauli ya kocha mkuu wa timu za Taifa za wanawake Bakari Shime akizungumzia maandalizi ya kikosi cha U17 Machi 3, 2022 walipokuwa mazoezini kwenye uwanja wa Amaan. Kikosi hicho kinachojiandaa kwa mchezo wa...
TFF yaendesha Kozi ya Grassroots

TFF yaendesha Kozi ya Grassroots

TFF yaendesha kozi ya Grassroots. Rais wa shirikisho la mpira wa miguu Tanzania Wallace Karia amefungua kozi ya awali ya ukocha wa Grassroots “FIFA GRASSROOTS FOOTBALL COACHING COURSE” inayofanyika makao makuu ya TFF Karume jijini Dar Es Salaam. Kozi ya Grassroots ni...