TFF yawapiga msasa waamuzi.

TFF yawapiga msasa waamuzi.

TFF yawapiga msasa waamuzi. Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) linaendesha semina ya siku tatu kwa waamuzi wa ligi kuu Tanzania Bara (NBC Premier League) pamoja na kamati ya waamuzi kuanzia leo februari 15, 2022 kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa ili kutazama na...
Hali ya Hewa Imeigharimu Timu

Hali ya Hewa Imeigharimu Timu

Hali ya Hewa Imeigharimu Timu Timu ya Taifa ya wasichana chini ya miaka 20 Tanzanite imeshindwa kuendelea na safari ya kuwania tiketi ya kushiriki mashindano ya Kombe la Dunia 2022, mara baada ya kupoteza katika mchezo wake wa marudiano dhidi ya Ethiopia Februali 04,...
Tanzanite VS Ethiopia Leo

Tanzanite VS Ethiopia Leo

Tanzanite VS Ethiopia Leo Mchezo wa marudiano kati ya timu ya taifa ya wanawake chini ya miaka 20 “Tanzanite” dhidi ya timu ya wanawake chini ya miaka 20 ya Ethiopia unatarajiwa kupigwa leo majira ya sa 10:00 jioni katika Dimba la Abebe Bikila-Addis Ababa nchini...
Issa Bukuku Aibariki Kozi ya Ukocha CAF Diploma D

Issa Bukuku Aibariki Kozi ya Ukocha CAF Diploma D

Issa Bukuku Aibariki Kozi ya Ukocha CAF Diploma D Kozi ya ukocha ya CAF Diploma D inayojumuisha washiriki 52 imefunguliwa ramsi na kubarikiwa na mwenyekiti wa kamati ya ufundi ambaye pia ni mjumbe wa kamati tendaji TFF Issa Mrisho Bukuku Januari 28, 2022. Kozi hiyo ya...