Simba Queens Yaanza Ligi Kibabe

Simba Queens Yaanza Ligi Kibabe

Simba Queens Yaanza Ligi Kibabe Pazia la Ligi Kuu ya Wanawake (SWPL) msimu 2021/2022 limefunguliwa Disemba 23, 2021 kwa kupigwa michezo miwili ambapo moja kati ya mechi zilizo chezwa ni kati ya Simba Queens (Mabingwa watetezi SWPL) iliyoanza kwa kishindo baada ya...
Rais Karia  Kuishika Mkono Mwanga

Rais Karia  Kuishika Mkono Mwanga

Rais Karia  Kuishika Mkono Mwanga Rais wa Shirirkisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF Wallec Karia anayeendelea na ziara zake za kikazi kutazama shughuli mbalimbali za maendeleo ya mpira wa miguu hapa nchini ameahidi kuunga juhudi zinazofanywa na wadau wa soka wilayani...
TFF Mabingwa Wapya Kombe la TFF Media Bonanza 2021

TFF Mabingwa Wapya Kombe la TFF Media Bonanza 2021

  TFF Mabingwa Wapya Kombe la TFF Media Bonanza 2021 TFF yatwaa ubingwa wa bonanza la vyombo vya habari lililo fanyika Disemba 12, 2021 Gwambina Lounge kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe ambapo lililomalizika kwa timu ya TFF kuibuka na ushindi wa mikwaju ya penati...