Uganda Yaendeleza Ubabe kwa Stars

Uganda Yaendeleza Ubabe kwa Stars

  Uganda Yaendeleza Ubabe kwa Stars Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” imeshindwa kuonesha makali yake dhidi ya timu ya Taifa ya Uganda katika mchezo wa kirafika wa Kimataifa uliopigwa Disemba 09 katika uwanja wa Benjamin Mkapa baada ya kupoteza kwa bao 2-0;...
Tanzanite wakijipima 9 December

Tanzanite wakijipima 9 December

Tanzanite Kucheza Mechi ya Kirafiki Dhidi ya Uganda Siku ya Uhuru, Disemba 9 Timu ya Taifa ya wasichana wenye umri chini ya miaka 20 (Tanzanite) inatarajia kushuka dimbani Disemba 9, 2021 kwenye sherehe za maazimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika kucheza mchezo...
Tanzanite yasafisha njia kuelekea Costa Rica

Tanzanite yasafisha njia kuelekea Costa Rica

Tanzanite Yaanza Vyema Safari Kulekea Costa-Rica 2022 Mchezo wa kuwania kufuzu kushiriki Kombe la Dunia kati ya timu ya Taifa ya Tanzania “Tanzanite” na Burundi umemalizika kwa Tanzanite kuibuka na ushindi wa mabao 3-2, kwenye mchezo wa kwanza uliopigwa Desemba 4 saa...