by tff admin | Nov 23, 2021 | Coaching, News
Steven Mnguto: Makocha Jiongezeni Mwenyekiti wa bodi ya ligi (TPLB) na Makamu wa pili wa Rais wa TFF Steven Mnguto amewataka makocha kujiongeza zaidi katika upande wa lugha na elimu ya mpira ambayo inazidi kubadilika kila uchao jambo ambalo litakuwa msaada mkubwa...
by tff admin | Nov 22, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Dodoma Jiji na Biashara United Hakuna Mbabe Jamhuri Mchezo wa Novemba 21, 2021 uliowakutanisha Dodoma Jiji dhidi ya Biashara United kutoka Mara ulimalizika kwa timu hizo kutoshana nguvu baada ya kufungana bao 1-1 kwenye mchezo uliopigwa majira ya saa moja usiku...
by tff admin | Nov 21, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Namungo Yaivuta Shati Young Africans Ilulu Lindi Mchezo kati ya Namungo FC na Young Africans umemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya kufungana bao moja kwa moja huku Namungo wakimaliza dakika tisini (90) wakiwa pungufu baada ya mchezaji wao Alpha Nyenye kuoneshwa...
by tff admin | Nov 19, 2021 | Beach Soccer, Men's Beach Soccer, News
Tanzania yafanikiwa kutinga katika hatua ya fainali michuano ya COSAFA kwa upande wa soka la ufukweni (Beach Soccer) baada ya kupata ushindi mnono dhidi ya Angola hii leo Novemba 19, 2021 katika viwanja vya South Beach, Durban Afrika ya kusini. Tanzania...
by tff admin | Nov 19, 2021 | Beach Soccer, Coaching, Fantasy, Grassroots-For Kids, Home Videos, Kilimanjaro Queens, Kilimanjaro Stars, Kilimanjaro Warriors, Ligi Daraja la Kwanza(FDL), Ligi Daraja la Pili (SDL), Ligi Kuu Tanzania Bara, Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL), Ligi ya Vijana U20, Men's Beach Soccer, News, Racing, Referees, Serengeti Boys, Taifa Stars, Tanzania Bara U20, The Tanzanite, Twiga Stars, Uncategorized, Videos, Women's Premier League
Amos Makala: Rais Karia Ameandika Historia Mpya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Amos Makala amesema Rais wa TFF Wallace Karia ameandika historia mpya kwa kutekeleza kikamilifu na kwa vitendo vipaumbele vyote alivyoviainisha wakati anaingia madarakani mwaka 2017....