Rais Karia afungua kozi ya ukocha wa magolikipa

Rais Karia afungua kozi ya ukocha wa magolikipa

Rais Karia Afungua Kozi ya Ukocha wa Magolikipa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania limefungua mafunzo ya Ukocha wa Magolikipa inayotolewa na shirikisho la mpira wa miguu duniani (FIFA) inayotambulika kwa jina la (FIFA GOAL KEEPING COACHING COURSE) na kuipa nafasi...
Tanzanite Yashindwa Kutamba kwa Uganda

Tanzanite Yashindwa Kutamba kwa Uganda

Tanzanite Yashindwa Kutamba kwa Uganda Timu ya Taifa ya Tanzania Tanzanite inayoshiriki mashindano ya CECAFA Women’s U20 Championship 2021 kwa mara nyingine imepoteza kwenye mchezo wake wanne dhidi ya Uganda baada ya kufanya hivyo pia kwenye mchezo wake uliopita dhidi...
Serikali yaongeza nguvu Taifa Stars.

Serikali yaongeza nguvu Taifa Stars.

Serikali yaongeza nguvu Taifa Stars. Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa ametoa rai kwa wadau na wapenzi wa soka kote nchini kuungana kwa pamoja na kuhakikisha timu ya soka ya taifa inafanya vizuri katika michezo miwili iliyobakia ya...