Hafla ya Pongezi

Hafla ya Pongezi

Rais Samia apiga simu katika Hafla ya Wizara kuwapongeza Twiga Stars usiku wa jana. Rais wa Jamhuri ya Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amepiga simu katikati ya hafla ya Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo kupitia kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi...
Twiga Stars Yarejea Dar na Kikombe cha COSAFA

Twiga Stars Yarejea Dar na Kikombe cha COSAFA

Twiga Stars Yarejea Dar na Kikombe cha COSAFA Timu ya Taifa “Twiga Stars” imewasili katika uwanja wa Julius Kambarage Nyerere ikitokea Afrika Kusini ikiwa na Kombe ililolitwaa Oktoba 09, 2021 baada ya kuifunga Malawi bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya COSAFA WOMEN’S...