Twiga Stars Mabingwa COSAFA 2021

Twiga Stars Mabingwa COSAFA 2021

Twiga Stars Mabingwa COSAFA 2021 Timu ya Taifa ya Tanzania Twiga Stars imefanikiwa kubadili rekodi ya timu ya Taifa ya Afrika Kusini waliokuwa mabingwa wa mashindano ya COSAFA Women’s Championship mara saba mfululizo baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 kwenye mchezo...
Stars Bado Inanafasi Kufuzu Hatua Inayofuata

Stars Bado Inanafasi Kufuzu Hatua Inayofuata

Stars Bado Inanafasi Kufuzu Hatua Inayofuata Kocha Mkuu wa kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Kim Poulsen amesema kuwa Stars bado inanafasi ya kupambana kuhakikisha inafuzu hatua ya makundi na kusonga kwenye hatua nyingine inayofuata katika mashindano...
Twiga Stars Kukutana na Malawi Fainali

Twiga Stars Kukutana na Malawi Fainali

Twiga Stars Kukutana na Malawi Fainali Timu ya Taifa ya Tanzania Twiga Stars inayoshiriki mashindano ya COSAFA Women’s Championship 2021 yanayoendelea nchini Afrika Kusini inatarajia kushuka dimbani kuminyana na timu ya Taifa ya Malawi kwenye mchezo wa Fainali...