NBC yaichukua Ligi Kuu Tanzania Bara

NBC yaichukua Ligi Kuu Tanzania Bara

NBC Yategua Kitendawili cha Udhamini Ligi Kuu Bara  Kitendawili kilichokuwa miongoni mwa wadau wengi wa mpira wa miguu Tanzania kuhusu nani atakuwa mdhamini wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara (TPL) kimeteguliwa Octoba 6, 2021 ambapo Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetia...
Twiga Stars Uso kwa Uso na Zambia Nusu Fainali

Twiga Stars Uso kwa Uso na Zambia Nusu Fainali

Twiga Stars Uso kwa Uso na Zambia Nusu Fainali Timu ya Taifa ya Tanzania Twiga Stars inayoshiriki mashindano ya COSAFA Women’s Championship 2021 yanayofanyika Port Elizabeth nchini Afrika Kusini inatarajia kushuka dimbani kucheza mchezo wake wa nusu fainali dhidi ya...
Stars “Tuko Tayari Kuitetea Bendera Ya Taifa

Stars “Tuko Tayari Kuitetea Bendera Ya Taifa

Stars “Tuko Tayari Kuitetea Bendera Ya Taifa Kocaha Mkuu wa kikosi cha Taifa “Taifa Stars” Kim Poulsen amesema kuwa wachezaji wake wako tayari kuendelea kuipeperusha vyema Bendera ya Tiafa la Tanzania kwa kujituma kwa hali na mali kuhakikisha wanaibuka na ushindi...
Twiga Stars Yaanza Kibabe, Yawaduwaza Wazimbwe

Twiga Stars Yaanza Kibabe, Yawaduwaza Wazimbwe

Twiga Stars Yaanza Kibabe, Yawaduwaza Wazimbwe Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imeanza vizuri kwenye mchezo wake wa kwanza wa mashindano ya COSAFA  Women’s Champion yanayofanyika kwenye mji wa Port Elizabeth nchini Afrika Kusini ambako Septemba 29,2021 timu...