by tff admin | Sep 30, 2021 | News, Twiga Stars
Balozi Awataka Twiga Stars Kufika Fainali COSAFA Timu ya Taifa ya Tanzania Twiga Stars imetakiwa kufika hatua ya fainali ili kuleta hamasa kwa watanzania wote, lakini pia iwe pongenzi kwa Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa Rais wa kwanza mwanamke kutoka Tanzania...
by tff admin | Sep 30, 2021 | News, Twiga Stars
Twiga Stars “COSAFA Muhimu Kwetu” Timu ya Taifa ya ‘Twiga Stras’ ambayo ipo nchini Afrika Kusini kwa ajili ya mashindano ya ‘COSAFA Women’s Championship’ imeendelea na mazoezi ya kujiweka sawa tayari kuvaana na Zimbabwe kwenye mchezo wake wa kwanza unaotarajiwa...
by tff admin | Sep 30, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Ligi Yarejea na Utamu Wake, Waliopanda Waonja Chungu Tamu ya Ligi Kuu Bara Namungo FC, Mbeya Kwanza, Dodoma Jiji na Mbeya City zimefanikiwa kuianza vyema Ligi Kuu Tanzania kwa kuanza na ushindi, huku Simba wao wakishindwa kutamba ugenini kwa Biashara United huko...
by tff admin | Sep 30, 2021 | News, The Tanzanite
Tanzanite Queen’s Yarejea Nyumbani Ikitabasamu Kikosi cha timu ya Taifa ya wanawake wenye umri chini ya miaka 20 (U-20) kimerejea Leo Septemba 28, 2021 kikitokea nchini Eritrea walipokwenda kucheza mchezo dhidi ya wenyeji ‘Eritrea’ ikiwa ni katika harakati za...
by tff admin | Sep 25, 2021 | News
TFF Yaweka Wazi Uataratibu Kuelekea Ngao ya Jamii” Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa mwongozo wa utaratibu wa viingilio vya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaowakutanisha watani wa jadi; Simba SC dhidi ya Young Africans unaotarajiwa kupigwa Septemba 25,...