CAF Yaumwagia Sifa Uongozi na Utawala Bora wa Karia

CAF Yaumwagia Sifa Uongozi na Utawala Bora wa Karia

CAF Yaumwagia Sifa Uongozi na Utawala Bora wa Karia Uongozi na utawala bora uliopo chini ya Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia umezidi kuthibitika wazi kwa mafanikio makubwa ambayo hakuna haja ya kusimuliwa ili kuweza kuyafahamu bali kwa...
Rais Samia Kudhamini CECAFA Wanawake

Rais Samia Kudhamini CECAFA Wanawake

Rais Samia Kudhamini CECAFA Wanawake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amekubali ombi la kudhamini mashindano ya wanawake ya CECAFA baada ya kupokea maombi ya udhamini wa mashindano hayo yatakayo kuwa yakifanyika kila mwaka kutoka kwa Rais wa...
Serikali Yahimiza Wanamichezo na Wanahabari Kupata Chanjo

Serikali Yahimiza Wanamichezo na Wanahabari Kupata Chanjo

Serikali Yahimiza Wanamichezo na Wanahabari Kupata Chanjo Serikali yatoa hamasa kwa wadau wa soka, wanahabari na Wanamichezo kulipa umuhimu mkubwa suala la kuchoma chanjo ya Uviko-19 kwajili ya kulinda afya zao. Kuali hiyo ilitolewa na Waziri wa Habari, Utamaduni...
Stars Kuelekea Kombe la Dunia Qatar 2022

Stars Kuelekea Kombe la Dunia Qatar 2022

Stars Mguu Sawa Kuelekea Kombe la Dunia Qutar 2022 Kocha wa timu ya Taifa Tanzania, ‘Taifa Stars’ Kim Poulsen atangaza kikos kitakacho vaana na DR Congo Septemba 2, mwaka huu huko nchini Congo kabla ya kurudiana mnamo tarehe 7 mwezi huo huo. Kikosi hicho cha Stars...