Kozi ya Diploma ‘A’ CAF Yaanza TFF

Kozi ya Diploma ‘A’ CAF Yaanza TFF

Kozi ya Diploma ‘A’ CAF Yaanza TFF Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia Idara yake ya Ufundi limeendelea kutoa Kozi ya Stashahada ‘A’ ya CAF kuanzia Agosti 02, 2021 katika darasa linaloendeshwa kwenye Makao Makuu ya Shirikisho hilo yaliopo...
KMKM Yakubali Yaishe Mbele ya Express

KMKM Yakubali Yaishe Mbele ya Express

KMKM Yakubali Yaishe Mbele ya Express KIKOSI cha Express FC kutoka Uganda kimetinga kucheza hatua ya fainali ya michuano ya CECAFA Kagame Cup 2021 inayofanyika nchini Tanzania, baada ya kuwachapa KMKM bao 2-1 wapinzani wao hao kutoka visiwani Zanzibar kwenye mchezo wa...
TBC na TFF Waingia Mkataba Matangazo ya Redio

TBC na TFF Waingia Mkataba Matangazo ya Redio

TBC na TFF Waingia Mkataba Matangazo ya Redio Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF)  rasmi Agosti 3, 2021 imeingia mkataba wa miaka 10 na Shirika la Utangazaji Tanzania(TBC)  wa haki za kurusha matangazo  yanayo beba maudhui ya mechi za Ligi Kuu Soka Bara...
Tanzania U23 Yabeba Ubingwa CECAFA 2021

Tanzania U23 Yabeba Ubingwa CECAFA 2021

Fainali ya michuano ya CECAFA U23 msimu wa 2021 imerindima hii leo Julai 30, 2021 kwa kuzikutanisha Tanzania U23 dhidi ya Burundi U23 katika uwanja wa Bahir Dar, Ethiopia moja kati ya mchezo uliokuwa ukisubiriwa na watu wengi sana. Timu zote zilingia uwanjani kwa hali...