by tff admin | Jul 30, 2021 | News
Kikao cha Kamati ya Mashindano ya TFF iliyokutana Julai 27, 2021 kilipitia taarifa za mchezo Fainali ya kombe la Shirikisho (ASFC) uliochezwa Julai 25, 2021 katika Uwanja wa lake Tanganyika, Kigoma. Kamati imejiridhisha kwa mujibu wa Kanuni na kutoa adhabu kwa makosa...
by tff admin | Jul 29, 2021 | News
JKT Tanzania Yakabidhiwa Ubingwa Kibabe Mchezo wa kukamilisha ligi ya vijana walio na umri chini ya miaka 17 (U17) ulipigwa 29 Julai, 2021 ambapo timu ya JKT Tanzania iliibuka na ushindi wa bao tatu kwa sifuri na kuwafanya mabingwa hao kuhitimisha safari yao kibabe...
by tff admin | Jul 25, 2021 | News
Simba Yatetea Ubingwa ‘FA CUP’ Mabingwa watetezi wa Kombe la Shirikisho la Azam Sports Simba SC kwa mara nyingine wamefanikiwa kuchukua ubingwa huo, ikiwa ni mara ya pili mfululizo wakiwachapa watani wao wa jadi Young Africans bao moja kwa sifuri katika...
by tff admin | Jul 18, 2021 | Ligi Kuu Tanzania Bara, News
Pazia la Ligi Kuu Bara Lafungwa Rasmi Ligi kuu ya Vodacom Tanzania Bara (Vodacom Premier League) imefikia tamati ambapo michezo yote tisa imepigwa kwenye viwanja tofautitofauti nchini huku baadhi ya timu zikitoka na furaha kwa kusalia katika ligi hiyo wakati timu nne...
by tff admin | Jul 16, 2021 | Kilimanjaro Warriors, News
‘Kilimanjaro Warriors’ Macho CECAFA Kocha Kim Poulsen ametangaza rasmi kikosi cha vijana wa timu ya Taifa wenye umri chini ya miaka 23 watakao weka kambi kwa ajili ya kujiandaa kwenda kushiriki mashindano ya CECAFA yatakayofanyika nchini Ethiopia. Poulsen ametangaza...