Wizara Imewazawadia Fountain Gate Academy Milioni 10

Wizara Imewazawadia Fountain Gate Academy Milioni 10

Wizara Imewazawadia Fountain Gate Academy Milioni 10 Wizara ya Utamaduni, sanaa na Michezo imewazawadia timu ya Fountain Gate Dodoma wachezaji na benchi la ufundi fedha taslim shilingi Milioni 10 ikiwa ni sehemu ya pongezi baada ya timu hiyo kutwaa ubingwa wa Afrika...
Rais Samia Akoleza Mzuka Stars

Rais Samia Akoleza Mzuka Stars

Rais Samia Akoleza Mzuka Stars, Aongeza Tiketi Elfu Tano na Aahidi Kila Bao 10Milioni Rais wa Jumhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongeza Idadi ya tiketi kutoka elfu mbili (2000) hadi tiketi Elfu Saba (7000) kwa ajili ya kuwagawia mashabiki...