by tff admin | Sep 10, 2022 | News, Twiga Stars
Twiga stars kukutana na Namibia michuano ya Cosafa Timu ya taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ itakutana na timu ya taifa ya Namibia katika mchezo wa kutafuta mshindi wa tatu katika michuano ya Hollwoodbets Cosafa women’s championship inayoendelea kutimua vumbi Port...
by tff admin | Sep 8, 2022 | News
Twiga Stars yatinga nusu fainali Cosafa Timu ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ imefanikiwa kusonga mbele hatua ya nusu fainali katika michuano ya Hollywoodbets Cosafa women’s championship baada ya kuiondosha timu ya Malawi kwa bao 3-1 katika mchezo...
by tff admin | Sep 6, 2022 | Beach Soccer, News
Timu ya Taifa soka la ufukweni wanaendelea na mazoezi katika viwanja vya fukwe vya coco beach kujiandaa na mashindano ya COSAFA yanayoandaliwa na Mabaraza ya vyama vya mpira wa miguu kusini mwa Africa. Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa soka la ufukweni Boniface...
by tff admin | Sep 5, 2022 | News, Twiga Stars
Twiga Stars yatoshana nguvu na Botswana Timu ya Taifa ya wanawake ‘Twiga stars’ imetoshana nguvu na timu ya taifa ya Botswana kwa kutoka Sare ya kutokufungana katika michuano ya Hollywoodbets Cosafa women’s championship inayoendelea nchini Afrika...
by tff admin | Sep 2, 2022 | News, Twiga Stars
Twiga Stars yaanza vyema Cosafa Timu ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ imeanza vyema michuano ya HOLLYWOODBETS COSAFA baada ya kuichakaza Comoro mabao 3-0 katika mchezo wa kundi C uliopigwa katika dimba la Madibaz Port Elizabeth, Afrika Kusini.Bao la...
by tff admin | Sep 2, 2022 | News
Shime: Tunakwenda kutetea ubingwa wetu Kocha mkuu wa Timu ya Taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ Bakari Shime amesema kikosi chake kipo tayari kutetea ubingwa wa michuano ya wanawake ukanda wa Afrika Kusini ( Hollywood bets Cosafa women’s championship)...