The Official website of Tanzania Football Federation

Flash News

 

Raisi wa TFF Leodger Tenga(kushoto) akibalishana Mkataba wa Udhamini wa Bia ya Kilimanjaro kwa Timu ya Taifa Stars na Mkurugenzi Mkuu Robin Goetzsche(kulia.

Raisi wa TFF Leodgar Tenga akiweka Sahihi mkataba wa Udhamini wa Bia ya Kilimanjaro kwa timu ya Taifa Stars.

Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Steven Kilindo Kulia waliokaa na Alex Mgongolwa wa kamati ya sheria, maadili na hadhi za wachezaji wakiweka sahihi mkataba.

Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangala akimkabidhi Kombe Nahodha wa Simba Sc Juma Kaseja

Mchezaji wa Simba SC Uhuru Selemani akimtoka beki wa Yanga Sc Oscar Joshua, katika mchezo uliofanyika uwanja wa Taifa.


 

External links

Kupata ratiba VPL bonyeza hapa