Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limezindua rasmi mashindano ya vijana wa mikoa, likilenga kugundua vipaji vipya na kuandaa wachezaji kwa timu za taifa za vijana. Mashindano haya yatahusisha wachezaji wa chini ya umri wa 17 kutoka mikoa yote, kila mkoa ukijitahidi kuonyesha vipaji vyake bora.

    Mkurugenzi wa TFF wa Maendeleo ya Vijana alisema, “Hii ni fursa ya kushirikisha wachezaji wadogo, kuwapa uzoefu wa mashindano, na kuunda msingi wa timu bora za taifa baadaye,

    Share.