Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetoa onyo kali kwa klabu zinazoshiriki Ligi Kuu na Ligi ya Championship kukamilisha usajili wa wachezaji kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili. Dirisha la usajili lililofunguliwa tarehe Julai 1, 2025 litafungwa rasmi tarehe Septemba 7, 2025. TFF imesisitiza kuwa hakuna muda wa ziada utakaotolewa baada ya tarehe hiyo, hivyo klabu zinatakiwa kukamilisha taratibu zote kwa wakatg

    Share.